SAFARI ZA IRINGA ZAREJEA, TWIGA MILES KUTUMIKA KUKATA TIKETI
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inayo furaha kutangaza kurejesha safari za moja kwa moja kati ya Dar es Salaam na Iringa kuanzia Jumamosi, 22 Februari 2025. Safari ya kwanza itaanza saa 3:00 asubuhi kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na itachukua takribani dakika 60 kufika Uwanja wa Ndege wa Iringa. ATCL…