Dk Nchimbi ateta na mabalozi wa nchi nne
Dar es Salaam. Mabalozi wa nchi nne wanaowakilisha nchi zao Tanzania, wamejadili mambo manne na Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk Emanuel Nchimbi ikiwamo umuhimu wa kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi. Viongozi hao ni kutoka nchini za Marekani, Algeria, Uganda na India na waliofanya mazungumzo na katibu mkuu huyo wa CCM kwa nyakati tofauti…