TANZANIA KINARA AFRIKA MASHARIKI UKOMAVU WA TEHAMA

Na. Vero Ignatus, Arusha. Mkutano wa tano wa serikali mtandao umefanyika Leo Jijini Arusha ambapo umewakutanisha Takriban wadau 1000 ambapo utafanyika kwa siku tatu, kuanzia kwa Leo 11februari-13 februari 2025 ukiwa na lengo la kujadiliana kuhusu hali ya utekelezaji wa Serikali Mtandao nchini Akifungua kikao kazi hicho Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango katika Kituo…

Read More

RC BALOZI BATILDA AWAOMBA VIONGOZI WA DINI KUHAMASISHA WAUMINI KUJIANDIKISHA KWENYE DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA

Na Oscar Assenga,Tanga MKUU wa Mkoa wa Tanga Balozi,Dkt Batilda Burian amewaomba viongozi wa dini katika mahubiri yao wawahimize waumini kuhakikisha wanajitokeza kujiandikisha Kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ikiwemo kuboresha taarifa zao.Dkt Batilda aliyasema hayo Leo wakati akizungumza na viongozi wa dini na ya wa vyama vwanasiasa katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu…

Read More

NEMC KUPATA MENO : WANANCHI WAPONGEZA HATUA YA SERIKALI

Na Mwandishi Wetu WANANCHI mbalimbali mkoani Kigoma, Mtwara na maeneo mengine wamepongeza hatua ya serikali kutaka kuifanya Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) kuwa mamlaka hatua ambayo itakayoipa uwezo na nguvu ya kutekeleza majukumu yake kwa ufanisi. Mmoja wa wananchi hao, Zuhura Iddy alisema NEMC ikiwa mamlaka itakuwa na nguvu ya…

Read More

Uzinduzi wa Jukwaa la Meds Huwapa watoto na Saratani Nafasi ya Kupambana – Maswala ya Ulimwenguni

Karibu watoto 400,000 hugunduliwa na saratani kila mwaka na wengi wao wanaishi katika nchi zenye kipato cha chini ambapo dawa haziwezi kufikiwa au hazipatikani, kusababisha kiwango kikubwa cha asilimia 70 ya vifo. Katika nchi zenye kipato cha juu, zaidi ya watoto wanane kati ya 10 ambao hugunduliwa wanaishi. “Jukwaa sasa limewekwa kufunga pengo hili“, Alisema…

Read More

Wazir Jr amfuata Msuva Iraq

MSHAMBULIAJI wa Dodoma Jiji, Wazir Jr Shentembo amejiunga na Al Mina’a FC inayoshiriki Ligi Kuu ya Iraq akimfuata Simon Msuva anayekipiga katika timu ya Al Talaba. Wazir Jr ambaye aliwahi kukipiga Yanga 2020/21, amesaini mkataba wa miezi sita kujiunga na timu hiyo iliyopo nafasi ya 16 kwenye msimamo wa ligi hiyo yenye timu 20. Akizungumza…

Read More

Kauli za Wasira zamuibua Heche, atinga nyumbani kwake

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimevaa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira huku kikisisitiza tangu nchi ipate uhuru hakuna kilichofanyika. Kauli hiyo ya Chadema ni muendelezo wa majibizano kati ya Chadema na Wasira ambaye hivi karibuni alijibu mashambulizi ya chama hicho akisema CCM imefanya mambo makubwa ya…

Read More

Upelelezi kesi ya ‘Bwana Harusi’ bado ngoma mbichi

Dar es Salaam. Kwa mara nyingine Serikali imeieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Dar es Salaam, Kisutu kuwa upelelezi wa kesi ya wizi wa gari na fedha inayomkabili mfanyabiashara Vicent Masawe (36), maarufu “Bwana harusi,” haujakamilika. Masawe anakabiliwa na mashtaka mawili ambayo ni wizi wa gari aina ya Toyota Ractis lenye thamani ya Sh15…

Read More

Chadema jino kwa jino na Wasira

Dar es Salaam. Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimevaa Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira huku kikisisitiza tangu nchi ipate uhuru hakuna kilichofanyika. Kauli hiyo ya Chadema ni muendelezo wa majibizano kati ya Chadema na Wasira ambaye hivi karibuni alijibu mashambulizi ya chama hicho akisema CCM imefanya mambo makubwa ya…

Read More