Mahakama yatoa maagizo kesi ya Boni Yai, nyingine yakwama
Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imeitaka Serikali kukamilisha upelelezi kwa wakati, kesi ya kusambaza taarifa za uongo inayomkabili Meya wa zamani wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob maarufu Boni Yai pekee yake. Jacob ambaye ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani, anakabiliwa na mashtaka mawili ya kuchapishaji taarifa za uwongo kwenye mtandao…