Uhalisia, katikati ya sheria ya utoaji mimba
Dar es Salaam. Wakati sheria ya Tanzania ikitaja utoaji mimba ni kosa kisheria, imegundulika baadhi ya wanawake na wasichana nchini wamekuwa wakifika katika vituo vya afya kupata huduma baada ya kuharibika kwa mimba. Hata hivyo, baadhi yao, hufika kuhitaji usaidizi baada ya jaribio la kutoa mimba kugonga mwamba. Hali hiyo ni kinyume na makatazo ya…