TPDC kuanzisha vituo vya gesi vinavyounganisha Dar-Dodoma
Dodoma. Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) lipo kwenye hatua za manunuzi za mradi wa kuagiza na kusimika vituo vya Gesi Asilia (CNG) vinavyohamishika katika barabara ya Dar es Salaam kuelekea Dodoma. Hatua hiyo ni kuboresha upatikanaji wa gesi hiyo kwa mikoa iliyo katika barabara kuu kuelekea Dodoma. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Dustan…