Malalamiko mikopo ya asilimia 10 yamuibua Zungu bungeni
Dodoma. Naibu Spika wa Bunge, Musa Zungu ameitaka Serikali kufuatilia malalamiko ya vikundi vinavyoomba mikopo ya asilimia 10 kwa wanawake, vijana na wenye ulemavu kuwa hawatendewi haki na baadhi ya watendaji na maofisa maendeleo. Zungu ameyasema hayo leo Jumatano Februari 12, 2025 wakati wa kipindi cha maswali na majibu bungeni baada ya Naibu Waziri wa…