Wabunge walia fedha zilizotengwa uharibifu wa El-nino, ofisi zao
Dodoma. Kuchelewa kwa fedha za ujenzi wa miundombinu iliyoathiriwa na mvua za El-nino na mafuriko kumesababisha wabunge waikalie kooni Serikali, wakitaka kujua mustakabali wa barabara hizo zilizoharibika. Sambamba na hilo, wabunge hao wameibana Serikali kuhusu utaratibu wa usaili kwa ajira za walimu, wakisema si sawa kuwapima walimu wa sasa na wale waliohitimu miaka 10 iliyopita….