Naibu Waziri amtaja kada Chadema shujaa aliyejitoa kwa wengine
Dar/Babati. Aliyekuwa mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Manyara, Dk Derick Magoma, amehitimisha safari yake ya mwisho duniani huku Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel, akisema amefariki dunia akiwa shujaa kutokana na kazi kubwa aliyoifanya ya uokoaji wa watu kwenye maafa ya mafuriko Hanang, mkoani Manyara. DkMagoma, ambaye mwaka 2015 na 2020 aliwania ubunge wa…