Nyuma ya Pazia mchungaji anayedaiwa kubaka watoto kituo cha yatima

Kibaha. Wakati Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani likiendelea kumshikilia mmiliki wa kituo cha kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu, Stephano and Agape Foundation, kwa tuhuma za ubakaji wa watoto watano, baadhi ya wafanyakazi, majirani na viongozi wa mtaa wameeleza namna walivyopata taarifa. Polisi inamshikilia Stephano Maswala, ambaye ni mmiliki wa kituo hicho, anayedaiwa kuwabaka…

Read More

TASAF YAIPONGEZA BODI YA MIKOPO ELIMU YA JUU KUKUBALI KAYA MASIKINI KUPATIWA MIKOPO, WANAFUNZI WAFUNGUKA

MFUKO wa Maendeleo ya Jamii(TASAF) umetoa pongezi kwa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini kwa kukubali ombi la kuwapatia mikopo wanafunzi wanaotoka kaya masikini wapate mikopo kwa asilimia kubwa Pongezi hizo zimetolewa na Ofisa Ufuatiliaji kutoka TASAF Ramadhan Madari wakati wa Maonesho ya maadhimisho ya miaka 20 ya Bodi ya Mikopo yaliyofanyika hivi…

Read More

Fadlu aibuka na msisitizo kuhusu Chasambi

Simba imemtangaza mshambuliaji wake Ladack Chasambi kuwa mgeni rasmi katika mechi yake leo dhidi ya Tanzania Prisons kwenye Uwanja wa KMC Complex, Mwenge, Dar es Salaam wakati huo kocha wake mkuu, Fadlu Davids ametoa msimamo wa benchi la ufundi juu ya mchezaji huyo. Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Simba imetamba kuwa mchezaji huyo ambaye alijifunga…

Read More