Mbarawa aelekeza huduma za chakula, vinywaji ziongezwe SGR

Dar es Salaam. Waziri wa Uchukuzi, Profesa Makame Mbarawa amelitaka Shirika la Reli Tanzania (TRC) kuongeza urahisi wa upatikanaji wa huduma za chakula na vinywaji, ikiwa ni sehemu ya kuongeza ajira na kuchochea ukuaji wa uchumi kupitia mradi wa reli ya kisasa (SGR). Katika kutekeleza hilo, amesisitiza ni muhimu shirika hilo kuhakikisha linashirikiana na sekta…

Read More

Huu hapa msimamo wa Malisa aliyetimuliwa CCM, asisitiza …

Dar es Salaam. Uamuzi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Kilimanjaro kumfuta uanachama kada wake, Dk Godfrey Malisa umechukua sura mpya baada ya kada huyo kusema hatambui kilichofanyika. Makisa anayejiita kada mwandamizi wa CCM, amesema mpango wake wa kwenda mahakamani kupinga uamuzi wa Mkutano Mkuu wa CCM kumpitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea…

Read More

Pamba Jiji yatuma ujumbe kwa waamuzi Ligi Kuu

Pamba Jiji imetuma ujumbe kwa waamuzi wa Ligi Kuu Bara ikionyesha masikitiko juu ya vitendo vya baadhi ya waamuzi kulazimisha matokeo yanayozifurahisha baadhi ya timu na kuziumiza nyingine. Kauli hiyo imekuja siku moja baada ya timu hiyo kunyimwa bao lililofungwa na Salehe Masoud kwenye mchezo dhidi ya Azam FC uliopigwa Februari 9, mwaka huu, kwenye…

Read More

Playson Short Races Kumwaga Bilioni Tatu – Global Publishers

Meridianbet kupitia michezo ya kasino wanakujia na promo kabambe ambayo itakufanya kua sehemi ya mgao wa kiasi cha shilingi bilioni tatu kupitia michezo ya playson short races. Playson Short races kama wasambazaji wa michezo mbalimbali kupitia michezo yao ndio unaweza kua sehemu ya washindi watakaoshindania kiasi cha  3,000,000,000 kila siku, Hivo wachezaji wa michezo ya…

Read More

YANGA YATIMIZA MIAKA 90 LEO – Global Publishers

  Klabu ya Young Africans SC (Yanga SC) leo, tarehe 11 Februari 2025, inasherehekea miaka 90 tangu kuanzishwa kwake mnamo mwaka 1935.Yanga imepitia safari ndefu ya mafanikio, ushindani, na historia kubwa katika soka la Tanzania na Afrika kwa ujumla. Tangu ilipoanzishwa, Yanga SC imekuwa klabu yenye mashabiki wengi zaidi Afrika Mashariki. Ilipoanzishwa mwaka 1935 Klabu…

Read More

DC alivyotumia mstari wa biblia kuwatuliza waandamanaji

Manyara. Mkuu wa Wilaya ya Arumeru (DC), Amir Mkalipa ametumia mstari wa biblia kuwaomba wananchi walioandamana na kufunga barabara kwa zaidi ya saa nne kushinikiza Serikali kutatua changamoto zinazowakabili, kusitisha maandamano hayo. Miongoni mwa changamoto hizo, ni kuwapo kwa eneo korofi linalosababisha mafuriko mara kwa mara, ambali limesababisha vifo, majeruhi na uharibifu wa mali.                                                                                                  Maji…

Read More