Mwinyi: Maboresho ya mahakama yaendane na marekebisho ya sheria zilizopitwa na wakati
Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema maboresho ya mahakama ya kiutendaji na mifumo lazima viende sambamba na upitiaji wa sheria ambazo zimepitwa na wakati na zile ambazo ni kikwazo katika kufikia upatikanaji wa haki. Dk Mwinyi ametoa kauli hiyo leo Februari 10, 2025 katika kilele cha Wiki ya Sheria mjini Unguja, kwamba maboresha…