Mwalimu mkuu ahukumiwa kifungo kwa kuwapa majibu ya mtihani wanafunzi
Simiyu. Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Sunzula B, Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu, Bahati Suguti amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu jela au kulipa faini ya Sh5 milioni kwa kosa la kufanya udanganyifu katika mtihani la darasa la nne mwaka 2023. Katika kesi hiyo iliyotolewa hukumu leo Februari 2, 2025 na mahakama ya Wilaya…