 
        
            Alama za nyakati zilivyomponza mchungaji Malisa CCM
Februari 10, 2025, inaweza kuwa siku mbaya katika historia ya kisiasa kwa mwanazuoni Dk Godfrey Malisa baada ya kufukuzwa uanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM). Hata hivyo, ninachokiona ni kwamba kada huyo hakuwa amesoma alama za nyakati. Nasema hakusoma alama za nyakati kwa kuwa kilichomfukuzisha uanachama hakitofautiani sana na kilichomfukuzisha Bernard Membe (sasa marehemu), nacho…
 
                         
                         
                         
                         
                         
                         
         
         
         
         
         
         
         
        