
RC SIMIYU AZUNGUMZIA UMUHIMU WA KUTUNZA AMANI,KUSIMAMIA HAKI
Na Mwandishi Wetu,Simiyu MKUU wa Mkoa wa Simiyu Kenani Kihongosi amesisitiza umuhimu wa wananchi kutunza amani na kama kuna changamoto au kero basi yeye pamoja na viongozi wengine wa mkoa wapo tayari kutafuta majawabu kwa njia inayostahili. Kihongosi ametoa kauli hiyo alipokuwa anazungumza katika Machimbo ya Ikinabushu mkoani Simiyu na kupokelewa na maelfu ya wananchi…