 
        
            Ukata unavyoliandama Bunge la Afrika Mashariki,Spika alia
Dar es Salaam. Siku tatu baada ya kuahirishwa kwa vikao vya Bunge la Afrika Mashariki (Eala), Spika wa Bunge hilo, Joseph Ntakirutimana amesema hakuna shughuli za Bunge hilo zilizosimama licha ya changamoto za kifedha zinazoikabili jumuiya hiyo. Ntakirutimana amebainisha hayo baada ya kutafutwa na Mwananchi kufafanua kuhusu athari zitakazojitokeza baada ya kufanyika kwa uamuzi wa…
 
                         
                         
                         
                         
                         
                         
         
         
         
         
        