 
        
            Kada aliyempinga Rais Samia aliwa kichwa
Moshi. Licha ya Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) kuridhia kwa kishindo, kumpitisha Rais Samia Suluhu Hassan kuwa mgombea pekee wa chama hicho kwa nafasi ya urais kwenye uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu, kuna makada wameonekana kutoridhika na uamuzi huo wa kidemokrasia. Zipo taarifa kuwa baadhi ya makada wa CCM waliokuwa wakijipanga kuwania…
 
                         
                         
                         
                         
                         
                         
         
        