 
        
            Tanroads kujenga mzani Uyui kudhibiti uharibifu wa barabara
Tabora. Zaidi ya Sh15 bilioni zimetengwa kutekeleza mradi wa ujenzi wa mizani wa kupima uzito wa magari utakaowabana madereva wanaopitisha kinyemela mizigo mikubwa katika eneo la Kizengi lililopo Wilaya ya Uyui mkoani Tabora. Akizungumza Februari 9, 2025 wakati akikagua ujenzi huo, Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroad) Mkoa wa Tabora, Raphael Mlimani amesema baadhi…
 
                         
                         
                         
                         
                         
                         
         
         
         
        