 
        
            Matengenezo Barabara ya Seronera, uwanja wa ndege yaanza
Serengeti. Shirika la Hifadhi za Taifa (Tanapa) limeanza matengenezo makubwa ya barabara muhimu inayotumiwa na watalii kuanzia Seronera hadi Robo. Aidha imeanza kukarabati uwanja wa ndege wa Seronera unaopokea idadi kubwa ya ndege kwa viwanja vilivyopo ndani ya Hufadhi za Taifa, lengo la maboresho likiwa ni kuboresha miundombinu ya Hifadhi ya Taifa ya Serengeti. Akizungumza…
 
                         
                         
                         
                         
                         
         
         
         
         
         
        