Miloud Hamdi aanzia jeshini | Mwanaspoti
MASHABIKI wa Yanga wanataka kuona mavitu ya kocha mpya wa timu hiyo, Miloud Hamdi wakati atakapokiongoza kikosi hicho katika mchezo wa leo wa Ligi Kuu dhidi ya JKT Tanzania, utakaopigwa saa 10:15 jioni Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo. Kocha huyo aliyetua nchini kwa mara ya kwanza Desemba 30, mwaka jana kuinoa Singida Black Stars, alitambulishwa…