
WIZARA YA ELIMU YAKAMILISHA MPANGO WA MAENDELEO WA SEKTA YA ELIMU.
Na Janeth Raphael MichuziTv -Dodoma Wadau Sekta ya elimu wametakiwa kuendeleza ushiriki wao kuimarisha miundombinu Kwenye Sekta ya elimu ikiwa ni pamoja na ujenzi wa madarasa, karakana na nyenzo za kijifunzia ili kuwa na mazingira bora ya kufundishia na kujifunza Hayo yamezungumzwa na Katibu Mkuu Wizara ya Elimu,Sayansi na Teknolojia Profesa Carolyne Nombo jijini Dodoma…