Polisi Tanzania Top 4 inawatosha
KOCHA wa Maafande wa Polisi Tanzania, Mussa Rashid amesema moja ya malengo aliyopewa ni kuhakikisha timu hiyo inamaliza nne bora ‘Top Four’, na wanahitaji sapoti zaidi kutoka kwa mashabiki na viongozi ili kufikia hilo. Akizungumza na Mwanaspoti, Mussa alisema wachezaji wengi waliopo katika kikosi hicho ni wapya na ameanza majukumu yake kwa muda mfupi wakati…