WATUMISHI WA MADINI WAHIMIZWA KUFANYA KAZI KWA BIDII,KUWA WAZALENDO
Na Mwandishi Wetu WATUMISHI wa Wizara ya Madini na Taasisi zake wametakiwa kufanya kazi kwa bidii na uzalendo ili kulinda uchumi wa nchi usiweze kuathirika na mabadiliko ya sera za mataifa ya nje. Akizungumza leo Februari 8, 2025 katika Bonaza lililoandaliwa na Tume ya Madini na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), lililofanyika katika Viwanja…