MRADI WA MAJI KIJIJI CHA LIGUNGA WILAYA YA TUNDURU KUKAMILIKA MWEZI HUU
Na Mwandishi Maalum,Tunduru WAKAZI wa kijiji cha Ligunga Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma,wameanza kuwa na matumaini ya kupata huduma ya maji safi na salama baada ya Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira(Ruwasa),kuwa katika hatua za mwisho kukamilisha mradi wa maji ya kisima utakaohudumia wakazi 4,242 wa kijiji hicho. Wakizungumza kwa nyakati tofauti baadhi ya…