Walivyopatikana watoto waliotekwa Mwanza | Mwananchi
Mwanza. Wamepatikana. Ndilo neno lenye uzito wa kuelezea taarifa ya Polisi Mkoa wa Mwanza kuhusu kupatikana watoto wawili waliotekwa wakiwa kwenye basi la shule jijini hapa. Magreth Juma (8) anayesoma darasa la tatu na Fortunata Mwakalebela (5) wa darasa la pili katika Shule ya Blessing Modern iliyopo Nyasaka wilayani Ilemela walitekwa Februari 5, 2025, saa…