Watoto waliotekwa Mwanza wapatikana | Mwananchi

Mwanza. Wamepatikana. Ndilo neno lenye uzito wa kuelezea taarifa ya Polisi Mkoa wa Mwanza kuhusu kupatikana watoto wawili waliotekwa wakiwa kwenye basi la shule jijini hapa. Magreth Juma (8) anayesoma darasa la tatu na Fortunata Mwakalebela (5) wa darasa la pili katika Shule ya Blessing Modern iliyopo Nyasaka wilayani Ilemela walitekwa Februari 5, 2025, saa…

Read More

Dk Mwinyi ateua mrithi wa Mwenda ZRA

Unguja. Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amemteua Said Kiondo Athumani kuwa Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA). Kabla ya uteuzi huo, Athumani alikuwa Mkufunzi Mkuu Chuo cha Kodi cha Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA). Katika taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari na mkurugenzi wa mawasiliano ya Rais Ikulu, Charles Hilary, ikiwa imesainiwa na…

Read More

Wasira awananga wasemao CCM haijaleta maendeleo

Mara. Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara), Stephen Wasira amewakosoa wanaosema chama hicho hakijafanya lolote tangu kiingie madarakani, akisema hata elimu waliyonayo imetokana na chama hicho. Akizungumza na wanachama wa chama hicho leo Jumamosi Februari 8, 2025 katika kikao cha Halmashauri Kuu ya Wilaya Tarime mkoani Mara, Wassira amesema kwa miaka 60 iliyopita Watanzania wamekuwa na…

Read More

Mwamba uliokwamisha ujenzi bandari ya Bukoba wapasuliwa

Bukoba. Upanuzi wa bandari ya Bukoba uliokuwa umesimama kutokana na kukumbwa na changamoto ya mwamba uliobainika chini ya maji katika ziwa Victoria mkoani Kagera, sasa upo katika hali nzuri kufuatia mwamba huo kupasuliwa. Julai 16, 2024 mkandarasi wa mradi huo, Mhandisi Mnanka Maginga akitoa taarifa, aliwaeleza wajumbe wa Kamati ya Kitaifa ya Uhamasishaji Biashara waliokuwa…

Read More

Kikwete akemea kauli za uchochezi

Geita. Rais mstaafu Jakaya Kikwete amesema machafuko na vita vinavyoendelea katika mataifa mengine iwe somo kwa Watanzania kuepuka maneno ya uchochezi yanayotolewa na wanasiasa wasiotaka kulinda na kudumisha tunu za Taifa za umoja, upendo, amani na mshikamano. Akizungumza leo Februari 8, 2025 kwenye mkutano maalumu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Bukombe, uliolenga kupokea taarifa ya…

Read More

Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Anwani za Makazi Dodoma

MAADHIMISHO ya kilele cha wiki ya Anwani za Makazi yamefanyika leo jijini Dodoma, yakiongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa ambapo ameeleza mafanikio makubwa yaliyopatikana tangu kuzinduliwa kwa operesheni ya mfumo wa anwani za makazi na Rais, Samia Suluhu Hassan. Waziri Mkuu amesema, operesheni hiyo iliyofanyika kwa muda wa miezi…

Read More

DC SAME AAGIZA TAASISI ZA SERIKALI ZINAZOKUSANYA MAPATO KUBORESHA NA KUBUNI VYANZO VIPYA VYA MAPATO.

  Na Mwaandishi wetu Michuzi Tv  Mkuu wa Wilaya ya Same, Mhe. Kasilda Mgeni, amezitaka taasisi za serikali zinazokusanya mapato kupitia utoaji wa huduma mbalimbali kwa wananchi ndani ya kubuni vyanzo vipya vya mapato ili kuimarisha uwezo wao wa kifedha na kufanikisha malengo ya ukusanyaji wa mapato waliyojiwekea. Taasisi hizo ni Mamlaka ya Mapato Tanzania…

Read More