BEI YA MAFUTA ZANZIBAR YAPANDA

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) imetangaza bei mpya za mafuta kwa mwezi Febuari 2025 ambapo bei hizo zimetajwa kupanda. Akitoa taarifa hiyo kwa Waandishi wa Habari Kaimu Meneja Kitengo cha Uhusiano Shara Chande Omar kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati Zanzibar (ZURA) katika ukumbi wa…

Read More

WANAOPITA KUWASUMBUA WAJUMBE KUOMBA KURA, WAONYWA.

Na John Walter -Babati Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Babati, Filbert Mdaki, ametoa onyo kali kwa wale wanaotembea kuwashawishi wajumbe ili wawapigie kura kwenye nafasi za Ubunge na Udiwani kabla ya muda rasmi wa mchakato wa uchaguzi kufika. Mdaki ametoa kauli hiyo wakati wa sherehe za miaka 48 ya CCM katika Kata…

Read More

Umeme kilio cha viwanda kwa kamati ya Bunge

Dar es Salaam. Kukosekana umeme wa uhakika na kutokuwapo usawa sokoni kumetajwa kuwa sababu ya viwanda, vikiwamo vya chuma kushindwa kufanya kazi kwa kiwango kinachotakiwa nchini. Kutokana na hilo, imependekezwa kuangaliwa namna kituo cha kupoza umeme Mkuranga kinavyoweza kupewa kipaumbele badala ya kile cha Chalinze ili kuhudumia viwanda, vinavyochangia ukuaji wa uchumi. Wamiliki wa viwanda…

Read More

Vita ya nafasi Ligi Kuu, ukizubaa unashushwa

RAUNDI ya 18 ya Ligi Kuu Bara itaanza kesho kwa michezo miwili kupigwa kwenye viwanja viwili, mchezo wa mapema saa 10:00 jioni utapigwa CCM Kirumba mjini Mwanza kati ya Pamba Jiji dhidi ya matajiri wa Jiji la Dar es Salaam, Azam FC. Timu hizo zitakutana zikiwa na morali baada ya kushinda michezo ya mwisho baada…

Read More

Jukwaa la Ulimwenguni linaonyesha maoni mapya kwa karne ya 21 ya kutunza amani – maswala ya ulimwengu

“Mawazo yetu yanapaswa kuzingatiwa na ukweli kwamba tuna mizozo zaidi leo kuliko wakati wowote tangu Vita vya Kidunia vya pili na kwa hali ya mzozo,” alisema Catherine Pollard, UN-Secretary Mkuu wa Mkakati wa Usimamizi, Sera na Ufuataji, Katika matamshi yake ya ufunguzi katika mkutano wa siku mbili uliofanyika 4 na 5 Februari. “Tunaona ongezeko la…

Read More

Uhaba wa fedha wakwamisha vikao vya Bunge la Afrika Mashariki

Arusha. Bunge la Afrika Mashariki (EALA) limetangaza kuahirisha vikao vyake kwa muda usiojulikana kutokana na changamoto za kifedha. Upungufu huo wa kifedha umetokana na baadhi ya nchi wanachama kushindwa kulipa michango yao, jambo lililosababisha kushindwa kufanyika kwa vikao vya Bunge vilivyokuwa vimepangwa kuanza Januari hadi Juni 2025. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa jana, Februari 7,…

Read More

Kilichomkuta Bocco Arachuga | Mwanaspoti

KOCHA wa JKT Tanzania, Ahmad Ally amesema sababu kubwa za mshambuliaji nyota wa timu hiyo, John Bocco kushindwa kucheza mchezo wa juzi wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union ni kutokana na kuishiwa nguvu, hali iliyosababisha kukosekana. Katika mchezo huo uliopigwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha na JKT kuchapwa mabao 2-1, Bocco…

Read More

Onyo la Majaliwa miundombinu anwani za makazi

Dodoma. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka Watanzania kuwa walinzi wa miundombinu iliyowekwa kwa ajili ya anuani za makazi, akieleza Serikali imetumia gharama kubwa kuisimika kurahisisha utambuzi wa maeneo na upatikanaji wa huduma za kijamii. Ametoa tamko hilo leo Jumamosi Februari 8, 2025 kwenye kilele cha maadhimisho ya Wiki ya Anwani za Makazi yenye kaulimbiu: “Tambua…

Read More

Unasihi kwa wanafunzi watajwa kuwa suluhisho la ajira

Dar es Salaam. Katika kukabiliana na mdondoko wa wanafunzi shuleni na janga la ajira kwa vijana nchini, unasihi kwa wanafunzi umetajwa kuwa suluhisho la kuwaelekeza kwenye ndoto za maisha yao. Hoja hiyo imekuja wakati Serikali ikiboresha mitalaa na Sera ya Elimu ikilenga kuwapa nafasi wanafunzi nafasi ya kuchangua fani za kusomea zitakazowawezesha kujiajiri au kuajiriwa….

Read More