Mauzo ya mafuta yaongezeka Januari Zanzibar
Unguja. Imeelezwa kuwa, sherehe za miaka 61 ya Mapinduzi, Zanzibar Januari 2025, zimeongeza mauzo ya mafuta visiwani humo kwa kuingiza lita milioni 28 kutokana na uhitaji. Ofisa mwandamizi wa mafuta na gesi kutoka Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Maji na Nishati (Zura), Ali Abdalla Ali ametoa kauli hiyo leo, Februari 8, 2025, akisema uingizaji…