Madiwani Ushetu walalama katikakatika ya umeme
Kahama. Madiwani wa Halmashauri ya Ushetu Wilaya ya Kahama, mkoani Shinyanga wamembana Meneja wa Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) katika halmashauri hiyo kutokana na kukatika mara kwa mara kwa umeme pasipo taarifa, na kusababisha hasara kwa wananchi. Wakizungumza kwenye kikao cha Baraza la Madiwani cha robo ya pili ya mwaka wa fedha 2024/25 Februai 7,…