
Maswali mengi vifo vya wakuu tume ya uchaguzi Kenya kufanana
Wafula Chebukati, alikuwa mada kuu wakati wa matokeo ya urais, uchaguzi mkuu wa Kenya 2022. Samuel Kivuitu ni jina lililojadiliwa kwa hisia kali baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu wa Kenya 2007. Wote wamefariki dunia Februari. Sababu ya vifo vyao ni shambulizi la moyo (cardiac arrest). Chebukati na Kivuitu, wote wameugua maradhi ya saratani kwa…