Gomez apagawa, ajipanga Wydad AC
NYOTA Mtanzania aliyetambulishwa na Wydad Casablanca ya Morocco, Seleman Mwalimu ‘Gomez’ amesema amefarijika kutimiza ndoto ya kucheza soka la kulipwa na sasa anajipanga ili kufanya vizuri akiwa na kikosi hicho. Usajili wa mshambuliaji huyo kutoka Singida Black Stars ambaye alikuwa anakipiga kwa mkopo Fountain Gate kwenda Wydad ulifanyika dakika za jioni na kuzua maswali kwa…