Korti ya Jinai ya Kimataifa inalaani hoja za vikwazo vya Amerika – maswala ya ulimwengu

Korti ilianzishwa na amri ya Roma, ilijadiliwa ndani ya UN – lakini ni mahakama huru kabisa iliyowekwa kujaribu uhalifu mkubwa, pamoja na uhalifu dhidi ya ubinadamu. Soma Mfafanuzi wetu hapa. Agizo kuu la Alhamisi lilisema serikali ya Amerika “italazimisha athari zinazoonekana na muhimu” kwa maafisa wa ICC ambao hufanya kazi kwenye uchunguzi ambao unatishia usalama…

Read More

KenGold kumalizia hasira za 6-1 Sokoine

KIPIGO cha mabao 6-1 ilichopata KenGold kutoka kwa Yanga kinaiuma timu hiyo iliyosema hasira na machungu wanatarajia kumalizia kwa Fountain Gate watakaoumana nao Jumatatu kwenye Uwanja wa Sokoine jijini Mbeya. KenGold iliyofanya usajili wa kishindo katika dirisha dogo, ilikamuliwa na Yanga kwa kipigo hicho kilichowekwa rekodi msimu huu kwa kuwa kikubwa zaidi, huku baadhi ya…

Read More

Aliyeinyima ushindi Simba afunguka kuhusu Mpanzu

UKIMUONA Diarra Djigui akichezea mpira kwa mbwembwe akiwa langoni usishangae kwani alishawahi kuwa mchezaji wa ndani akitumika kama kiungo, lakini unaambiwa Hashim Omary alivishwa jezi ya kipa wa Fountain Gate na kuibania Simba jana  mjini Manyara hajawahi kudaka kokote kule kabla ya jana. Mshambuliaji huyo wa Fountain Gate alilazimika kukaa langoni baada ya kipa John…

Read More

Chasambi akingiwa kifua | Mwanaspoti

MAKOCHA na wachezaji wa zamani wamemkingia kifua winga wa Simba, Ladaki Chasambi kwa kosa lililotokea juzi wakiliomba benchi la ufundi kuzungumza naye na kuendelea kumpa nafasi kucheza kwa sababu ni hazina ya taifa. Winga huyo chipukizi katika mechi hiyo ya Ligi Kuu dhidi ya Fountain Gate licha ya kutoa asisti ya bao la kuongoza alijifunga…

Read More

Job awatega mabosi Yanga | Mwanaspoti

KIKOSI cha Yanga kinaendelea kujiandaa na mchezo utakaopigwa keshokutwa dhidi ya JKT Tanzania huku, nahodha msaidizi, Dickson Job akiwatega mabosi wake kutokana na kuanza kuhesabu siku kabla ya mkataba alionao kumalizika. Ofa kadhaa zimeanza kumiminika kwa mchezaji huyo jambo linalowapa kazi mabosi wa Yanga kukuna vichwa ili kumbakisha kutokana na umuhimu wa beki huyo anayeunda…

Read More