Taasisi zitakazokidhi vigezo kupewa uhuru wa kujiendesha
Na Mwandishi wa OMH Dar es Salaam. Kama sehemu ya mageuzi yanayolenga kuongeza ufanisi wa taasisi za umma zenye mrengo wa kibiashara na za kimkakati, Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Dk. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ina mpango wa kuzipa taasisi, lakini zenye sifa, uhuru wa kujiendesha….