Kibano watumishi wa ardhi Dodoma
Dodoma. Bunge limeitaka Serikali ifanye tathmini na uhakiki wa huduma zinazotolewa na kila mtumishi katika ofisi ya ardhi jijini Dodoma, ili kuchukua hatua za kinidhamu kwa watumishi wasio waaminifu. Azimio hilo limefikiwa bungeni leo Februari 7, 2025 baada ya Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii, Timotheo Mnzava kuwasilisha taarifa…