BALOZI DKT. NCHIMBI AMTEMBELEA MZEE JOSEPH BUTIKU

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akiwa kwenye picha ya pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Mwalimu Nyerere, Mzee Joseph Butiku, baada ya Balozi Nchimbi kufika ofisini kwa Mzee Butiku kwa ajili ya kumjulia hali na kutembelea taasisi hiyo inayohusika na kuendeleza urathi wa Baba wa Taifa,…

Read More

Aliyeinyima ushindi Simba kumbe sio kipa

UKIMUONA Diarra Djigui akichezea mpira kwa mbwembwe akiwa langoni usishangae kwani alishawahi kuwa mchezaji wa ndani akitumika kama kiungo, lakini unaambiwa Hashim Omary alivishwa jezi ya kipa wa Fountain Gate na kuibania Simba jana  mjini Manyara hajawahi kudaka kokote kule kabla ya jana. Mshambuliaji huyo wa Fountain Gate alilazimika kukaa langoni baada ya kipa John…

Read More

Machafuko DRC yafunga barabara nne Dar

Dar es Salaam. Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, limetangaza kuzifunga kwa muda barabara nne zinaoingia katikati ya Jiji, ili kutoa nafasi kwa ugeni wa wakuu wa nchi wanaotarajiwa kukutana kesho, Jumamosi ya Februari 8, 2025. Ugeni huo ni wa Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya Kusini mwa…

Read More

Sillah: Hivi ndivyo Ligi inavyotakiwa

ACHANA na mabao mawili aliyofunga dhidi ya KMC na kumfanya afikishe matano katika Ligi Kuu Bara, mshambuliaji wa Azam FC, Gibril Sillah amesema amefurahishwa na ushindani uliopo tangu kuanza kwa duru la pili, akisema ndivyo ligi inavyotakiwa. Sillah alifunga kila kipindi wakati Azam ikishinda mabao 2-0 kwenye Uwanja wa Azam Complex jijini Dar es Salaam…

Read More

Ushindi wampa jeuri Minziro | Mwanaspoti

BAADA ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Dodoma Jiji ugenini, kocha mkuu wa Pamba, Fredy Felix ‘Minziro’ amesema ushindi na bonasi waliyoipata wachezaji ni chachu ya kuongeza ushindani kuelekea mchezo  dhidi ya Azam FC Jumapili. Pamba Jiji baada ya kuibuka na ushindi dhidi ya Dodoma Jiji, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said…

Read More

WALIPAKODI MKOANI TABORA WAAHIDI USHIRIKIANO NA TRA

    Walipakodi mkoani Tabora wameahidi kuendelea kushirikiana na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kwa kulipa Kodi kwa hiari na kuwafichua Wafanyabiashara wanaokwepa Kodi. Wakizungumza kwa nyakati tofauti katika mkutano baina yao na Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda Wafanyabiashara hao wamesema wanajivunia kulipa Kodi kutokana na maendeleo makubwa…

Read More

Kumeanza kuchangamka! Nabi amng’oa Fadlu Simba

KABLA ya tukio la Simba kuangusha pointi moja mbele ya Fountain Gate juzi jioni, mjadala ulikuwa kitendo cha kocha wa Yanga, Saed Ramovic kuikacha timu hiyo ndani ya muda mfupi na kuibukia CR Belouizdad ya Morocco. Lakini sasa kuna jipya. Mwanaspoti linajua kuna timu nyingine ya nchi hiyo ambayo ipo siriazi ikipania kumng’oa kocha wa…

Read More

Tanzania mwenyeji mkutano wa mafuta na gesi

Dar es Salaam. Washiriki zaidi ya 1,000 kutoka nchi mbalimbali ikiwemo za Afrika ya Mashariki, wanatarajia kujifungia kwa siku tatu nchini kujadili mchango wa rasilimali za mafuta na gesi asilia katika maendeleo endelevu ya Afrika Mashariki na fursa za uwekezaji zilizopo. Washiriki hao watatumia Machi 5 hadi 7 mwaka huu kupitia Maonyesho ya 11 ya…

Read More

PPRA yatangaza kibano kwa kampuni danganyifu

Dodoma. Mamlaka ya Udhibiti wa Ununuzi wa Umma (PPRA) amewataka maofisa manunuzi na wakurugenzi watendaji wa halmashauri nchini kutoa taarifa za kampuni ambazo zimeomba tenda na kushindwa kufanya kazi ndani ya siku 28, kwa ajili ya hatua zaidi. Kauli hiyo imetolewa leo Ijumaa, Februari 7, 2025 na Mkurugenzi Mkuu wa PPRA, Dennis Simba wakati akizungumza…

Read More