Bolt Yazindua Kipengele cha "Trusted Contacts" Kuboresha Usalama wa Abiria na Madereva

Kampuni ya Bolt imezindua kipengele kipya cha “Trusted Contacts” ambacho kitawawezesha abiria na madereva kuongeza majina na namba za simu za marafiki au ndugu kwenye orodha ya mawasiliano ya akaunti zao. Kipengele hiki kitaiwezesha Timu ya Usalama ya Bolt kuwasiliana na mawasiliano hayo endapo mwenye akaunti hatapatikana. Uzinduzi huu ni sehemu ya uwekezaji wa Bolt…

Read More

Mahakama ya kijeshi yatoa hati kiongozi wa M23 akamatwe

M23 wanatajwa kufadhiliwa na Serikali ya Rwanda hata hivyo, Rais wa Rwanda, Paul Kagame   akizungumza na CNN alikanusha kuhusika kuwafadhili waasi hao. Goma. Mahakama ya Kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imetoa hati ya kukamatwa kwa kiongozi wa umoja wa makundi ya waasi nchini humo ya Alliance Fleuve Congo (AFC/M23), Corneille Nangaa. Shirika…

Read More

Ahukumiwa miaka minne kwa mauaji ugomvi wa choo

Arusha. Mahakama Kuu Masijala Ndogo ya Bukoba imemhukumu adhabu ya kifungo cha miaka minne jela, Jacob Alphonce baada ya kumkuta na hatia ya kosa la mauaji bila kukusudia. Mei 27,2024 Jacob alimuua Lucas Denis, katika eneo la Nyamiaga wilayani Ngara Mkoa wa Kagera. Ilidaiwa na upande wa mashitaka kuwa siku ya tukio, mke wa Jacob,…

Read More

Coastal Union, JKT TZ kazi ipo Arachuga

UHONDO wa Ligi Kuu Bara unaendelea tena leo kwa kupigwa mechi mbili za kukamilisha raundi ya 17, huku kazi kubwa ikiwa jijini Arusha na JKT Tanzania itakakuwa wageni wa Wagosi wa Kaya, Coastal Unuion kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, jijini humo. Mchezo mwingine wa leo ni wenyeji Singida Black Stars itakayoikaribisha Kagera Sugar kwenye…

Read More

Ikanga Speed hakijaeleweka Yanga, azua maswali

KABLA ya kutimka kwa aliyekuwa kocha wa Yanga, Sead Ramovic alikuwa alimkalia kooni winga mpya wa timu hiyo, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ na kuibua maswali itakuwaje baada ya jamaa kusepa? Hata hivyo, Ikanga Speed amebaki kidogo tu kabla ya kuanza kuliamsha Jangwani kwani baada ya kumaliza programu ya kupunguza uzito, sasa ameanza kuuchezea mpira. Mwanaspoti…

Read More

HADITHI: Kwa Mtutu wa Bunduki – 1

MAGARI mawili aina ya Buty ya rangi nyeusi yalikuwa yakielekea kiwanja cha ndege kumpokea mgeni wa shani kutoka Ethiopia, Myra Christopher Lee, binti wa bilionea wa Kiingereza Christopher Isaac Lee. Mzee Christopher Lee, mmiliki wa kiwanda kikubwa cha saruji kilichopo Dar alikuwa na viwanda vingine vya saruji katika nchi za Ethiopia, Ghana na Afrika Kusini….

Read More

Sababu mazoezi kuwa muhimu kwa mjamzito

Mmoja wa wakimbiaji wa Marathon aliuliza kama ni salama kushiriki Marathon akiwa katika ujauzito muhula wa kwanza. Kwa kifupi, mazoezi mepesi hayana madhara kwa ujauzito katika hatua za awali yaani katika chini ya miezi mitatu au muhula wa kwanza. Kuna ushahidi wa kitafiti kuwa mjamzito anayefanya mazoezi, ana uwezekano mdogo kupata matatizo ya uzazi wakati…

Read More

Vyama vyatakiwa kuweka mkakati wa nishati safi, mabadiliko ya tabianchi

Dar es Salaam. Wadau wa nishati nchini wamependekeza vyama vya siasa vieleze katika ilani zao za uchaguzi mkakati wa kuwezesha nishati safi na kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi. Wametaka vyama hivyo viweke wazi nini vitafanya kuhakikisha nishati jadidifu inawafikia wananchi wa ngazi zote na namna watakavyopambana na mabadiliko ya tabianchi watakaposhika dola. Pia, wametaka viweke…

Read More