Tumia mbinu hizi kulinda figo zako
Dar es Salaam. Mwili wa binadamu una viungo vingi vikiwemo vya ndani na nje. Kila kiungo kinahitaji kutunzwa ili kifanye kazi yake kwa ufasaha, baadhi utunzaji wake hutokana na aina ya maisha unayoishi kuanzia asubuhi mpaka wakati wa kulala. Baadhi ya viungo ambavyo ni muhimu kwa afya zetu ni pamoja na figo. Kazi yake kubwa…