
Biashara zijiepushe kuomba ya kutolea
Katika maeneo mengi ya biashara, kumekuwa na tabia ya wateja kuombwa kulipa “ya kutolea” wakati wa kufanya malipo kwa njia ya mtandao wa simu. Huu ni msamiati ambao umekuwa maarufu, na ingawa umekubalika kwa kiasi fulani, hatuwezi kushauri kuwa ni utaratibu bora wa kuigwa. Kwa mtazamo wangu, hili ni kama gharama isiyosemwa ambayo ni mzigo…