Wataalamu 50 wapatiwa mafunzo ya kuhudumia wagonjwa wa dharura na mahututi
Na: Mwandishi Malaalumu – Dar es Salaam Wataalamu 50 wanaotoa huduma za matibabu ya dharura, na matibabu kwa wagonjwa mahututi kutoka hospitali mbalimbali nchini wameshiriki katika mafunzo ya kuongeza ujuzi katika fani ya huduma za dharura na mahututi. Akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo hayo Mkurugenzi wa Idara ya Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya…