Aunganishwa na kaka yake kesi ya kughushi wosia
Dar es Salaam. Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, Nargis Omar(70) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka mawili ya kughushi wasio wa mama yake. Nargis anadaiwa kughushi wosia wa marehemu mama yake mzazi kisha kujipatia nyumba kinyume cha sheria. Mshtakiwa huyo amefikishwa mahakamani hapo leo, Alhamisi Februari 6, 2025 na kusomewa…