Simba yabanwa, Yanga yakaa kileleni
Sare ya bao 1-1 imeifanya Simba kushindwa kurejea kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada ya kufikisha pointi 44, moja nyuma ya vinara Yanga yenye 45. Simba imepata sare hiyo dhidi ya Fountain Gate katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliochezwa Uwanja wa Tanzanite Kwaraa uliopo Manyara. Kipindi cha kwanza cha mchezo huo kilikuwa…