Tujadili upacha wa CCM na wasanii wa Bongo Movie, Bongo Flava
Januari 16, 2025 watu maarufu, hasa wasanii wa makundi yote – waigizaji wa filamu na tamthiliya (Bongo Movie), wanamuziki, wachekeshaji, vilevile wenye ushawishi mitanadaoni (influencers), walionekana kwenye treni ya SGR. Walikuwa wakitokea Dar es Salaam, kwenda Dodoma, kuhudhuria Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), uliofanyika Januari 18 na 19, 2025 kwenye ukumbi wa mikutano…