Maagizo ya Watendaji wa Amerika yanaendelea, mauaji huko Sudani, tahadhari ya saratani ya matiti barani Afrika, haki za binadamu nchini Tunisia – Maswala ya Ulimwenguni

Kulingana na maagizo ya hivi karibuni ya Rais Trump kutoka White House Jumanne juu ya ushirikiano wa kimataifa, Amerika haitashiriki tena au kuunga mkono kifedha Baraza la Haki za Binadamu huko Geneva, ambayo imepangwa kukutana Ijumaa kujadili mzozo katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Agizo la mtendaji pia linataka uhakiki wa uanachama wa Amerika wa…

Read More

TRA yamwaga nafasi za ajira 1,596

Dar es Salaam. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetangaza nafasi 1,596 za ajira katika kada mbalimbali. Tangazo la nafasi hizo limetolewa leo Alhamisi Februari 6, 2025 na kusainiwa na Kamishna Mkuu wa mamlaka hiyo. “TRA inapenda kuajiri watumishi wenye sifa, uwezo na maadili kushika nafasi za kazi katika Idara ya Mapato ya Ndani, Forodha na…

Read More

Majaliwa atoa kauli uamuzi wa Trump kusitisha misaada

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameeleza msimamo wa Serikali ya Tanzania kuhusu mabadiliko ya sera za misaada ya Marekani chini ya utawala wa Rais Donald Trump, akisisitiza kuwa Tanzania lazima ijikite katika kujitegemea kiuchumi. Akizungumza bungeni jijini Dodoma leo, Alhamisi Februari 6, 2025, Majaliwa amesema kuwa Marekani, kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (Usaid), imesitisha…

Read More

Utapeli mitandaoni watikisa, Mo alia kudukuliwa

Dar es Salaam. Kufuatia matukio ya udukuzi wa akaunti za mitandaoni yanayosababisha utapeli, wananchi wametakiwa kujifunza elimu ya mitandao ili kuepuka kuingia kwenye majanga. Hayo yanakuja kufuatia tangazo la mfanyabiashara Mohammed Dewji maarufu Mo, lililotolea leo Februari 6, akiwaomba radhi wasomaji wake kwa machapisho ya ulaghai yaliyochapisha kwenye ukurasa wake wa X yakijaribu kuwadanganya watu…

Read More