Kilichomponza Diarra kufungwa bao la mbali
BAADHI ya mashabiki wa soka wakiwamo wa Yanga jana walishindwa kuvumilia na kujikuta wakimpa Selemani Rashid ‘Bwenzi’ wa KenGold fedha baada ya kufunga bao safi wakati timu yake ikilala kwenye Uwanja wa KMC Complex. Kiungo huyo alifanya maajabu baada ya kufunga bao la kuvutia kwa shuti kali kutoka katikati ya uwanja wakati wachezaji wa timu…