Hii hapa dawa ya upatikanaji wa mafuta Tanzania, Zambia
Dar es Salaam. Bomba la mafuta la Tanzania na Zambia (Tazama) ni miundombinu muhimu ya nishati inayounganisha Bandari ya Dar es Salaam, Tanzania na Ndola, Zambia. Lilijengwa mwaka 1968 kwa ushirikiano wa Serikali za Tanzania na Zambia, ili kusafirisha mafuta ghafi kutoka Tanzania hadi Zambia, kupunguza utegemezi wa Zambia kwa bandari za Afrika Kusini wakati…