Sababu marufuku ya matumizi ya mkaa Dar kukwaa kisiki
Dar es Salaam. Licha ya Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam kuwapiga marufuku wafanyabiashara wa chakula wakiwamo mama na babalishe kutumia kuni na mkaa kupikia, bei kubwa ya gesi na udogo wa majiko vinatajwa kuwa changamoto kwao kutumia nishati hiyo mbadala. Tangazo la jiji pia linawahusu wafanyabiashara wa migahawa na hoteli. Kwa kawaida mama…