
DKT. MWAMBA ATETA NA BALOZI WA JAPAN
Na. Josephine Majura WF, Dodoma Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha Dkt. Natu El-maamry Mwamba, amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Japan nchini Tanzania, Mhe. Yoichi Mikami, kilichofanyika jijini Dodoma, ambapo walijadili namna ya kuimarisha ushirikiano kati ya nchi hizo mbili katika nyanja mbalimbali za kiuchumi na kijamii. Dkt. Mwamba, aliishukuru Serikali ya Japan kwa…