Skip to content
  • Privacy Policy

HabariMpya

Habari za Kitaifa

  • Privacy Policy

Month: February 2025

  • Home
  • 2025
  • February
  • Page 205
Burudani

MSAMA AWAONYA WANAMUZIKI WA INJILI WANAOSHIRIKI MUZIKI WA KUMTUKUZA SHETANI

February 4, 2025 Admin

Na Mwandishi Wetu MKURUGENZI wa Msama Promotions Alex Msama ametoa onyo kwa waimbaji wote wa nyimbo za Injili ambao wamekuwa wakishiriki katika majukwaa na wasanii

Read More
Michezo

Nyota wa nje walivyopamba kikosi Twiga Stars

February 4, 2025 Admin

Dar es Salaam. Nyota 11 wanaocheza soka la kulipwa nje ya Tanzania, wameitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya wanawake ‘Twiga Stars’ kitakachoingia kambini

Read More
Habari

Mifuko ya hifadhi ya jamii kulipa riba ucheleweshaji wa mafao

February 4, 2025 Admin

Dodoma. Serikali ya Tanzania imeanzisha riba kwa mifuko ya hifadhi ya jamii itakayosababisha ucheweshaji wa mafao kwa wanachama huku Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya

Read More
Habari

Wafanyabiashara 774 kati ya 1,520 waliotambuliwa kuwa na sifa za kurejeshwa katika soko la Kariakoo

February 4, 2025 Admin

WAFANYABIASHARA 774 kati ya 1,520 waliotambuliwa kuwa na sifa za kurejeshwa katika soko la Kariakoo wamejitokeza leo (Februari 07,2025) katika ukumbi wa mikutano wa Arnautoglo

Read More
Habari

KAMATI YA KUDUMU YA BARAZA LA WAWAKILISHI MAWASILIANO,ARDHI NA NISHATI ZANZIBAR YAIPONGEZA TASAC

February 4, 2025 Admin

Kamati ya Kudumu ya Baraza la Wawakilishi, Mawasiliano, Ardhi na Nishati Zanzibar, imelipongeza Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) kwa utendaji kazi madhubuti katika

Read More
Michezo

Fadlu Davids noma! Afukuzia rekodi mpya Simba

February 4, 2025 Admin

MASHABIKI wa Simba wanatamba mitaani namna timu yao inavyopasua mawimbi kuutafuta ubingwa wa Ligi Kuu Bara, lakini ndani ya furaha hiyo kuna rekodi moja ya

Read More
Michezo

‘Uchawi’ wa Ramovic Yanga, upo hapa!

February 4, 2025 Admin

KOCHA wa Yanga Mjerumani Sead Ramovic ni wazi gari limemwakia baada ya kushinda michezo sita mfululizo ya Ligi Kuu Bara, huku ikionekana akibebwa zaidi na

Read More
Kimataifa

Mashariki ya DR Kongo inaongezeka hatari ya maambukizi ya MPOX, ambaye mkuu anaonya – maswala ya ulimwengu

February 4, 2025 Admin

Mapigano yaliongezeka sana mwishoni mwa Januari, wakati waasi wa Rwanda waliungwa mkono na M23 walichukua udhibiti wa sehemu za Kivu Kaskazini, pamoja na maeneo karibu

Read More
Michezo

Ujenzi wa Samia Complex Arusha wafikia asilimia 25

February 4, 2025 Admin

Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema ujenzi wa Uwanja wa michezo wa Arusha

Read More
Habari

RAIS SAMIA ASISITIZA MASLAHI YA TAIFA KUENDELEA KUZINFATIWA KWENYE MIKATABA INAYOINGIWA

February 4, 2025 Admin

-Mikataba 1799 ya Kitaifa, Kikanda na Kimataifa na Hati 352 za Makubaliano zafanyiwa upekuzi – Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa

Read More

Posts pagination

Previous 1 … 204 205 206 … 226 Next

Categories

  • Burudani
  • Habari
  • Kimataifa
  • Magazeti
  • Michezo
All Rights Reserved 2024.
Proudly powered by WordPress | Theme: Fairy by Candid Themes.