OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI KANDA YA MTWARA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA SHERIA NCHINI
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali Kanda ya Mtwara, ni moja ya wadau walioshiriki kwenye siku ya Sheria nchini ambayo kimkoa imeadhimishwa katika viwanja vya Mahakama kuu Mtwara leo Tarehe 03 Februari 2025. Maadhimisho hayo yameongozwa na Mhe. Jaji Mfawidhi Kanda ya Mahakama kuu Mtwara Rose Edward Ibrahim, na kuhudhuriwa na Mkuu wa Wilaya ya…