
Umuhimu wa taasisi za benki kurudisha kwa jamii
Dar es Salaam. Wakati kukiwa na makundi mbalimbali ya watu wanaohitaji msaada, Benki ya Maendeleo imetaja umuhimu wa hatua ya kurudisha kwa jamii kwa ajili ya ustawi wa jamii. Benki hiyo, ambayo mwaka 2024 ilifanikiwa kutumia zaidi ya Sh180 milioni katika mbio za hisani, imetumia Sh140 milioni kununua vifaa katika wodi ya watoto njiti ya…